Jinsi ya Kuthibitisha Akaunti yako
Ili Kuthibitisha Akaunti yako, nenda kwenye sehemu ya "Taarifa Binafsi", kisha uende kwenye "Uthibitishaji wa Akaunti" au "KYC". Huko, unahitaji kupakia faili zifuatazo:
- Picha za mbele na nyuma za Kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Kuendesha gari, Kitambulisho cha Mpiga Kura au Pasipoti ya Kimataifa iliyo katika ubora mzuri.
- Selfie yako ikiwa umeshikilia dokumenti uliyochagua, karibu na uso wako, kwa njia ambayo tunaweza kuona maelezo yote kwa uwazi, pamoja na uso wako.
Unaweza pia kutembelea kwenye ukurasa husika moja kwa moja, kwa kubofya Hapa.
Ikiwa unapata shida kuthibitisha akaunti yako, tafadhali wasiliana na timu yetu ya usaidizi. Itakuwa furaha yetu kukusaidia. Unaweza kuzungumza nasi kwa kutumia chat yetu, au unaweza kutuma barua pepe kwa: support.tz@parimatch.com