Je, umesahau neno lako la siri au umeingiza taarifa binafsi isiyo sahihi? Hakuna shida, tuko hapa kusaidia
Ikiwa umesahau neno lako la siri, au umeingiza taarifa isiyo sahihi katika sehemu ya taarifa binafsi, usijali, tutakusaidia kutatua tatizo lako. Tutafanya tuwezavyo kukusaidia ili uweze kurudi kubeti nasi haraka iwezekanavyo.
Nimesahau neno langu la siri. Nifanye nini?
Usijali, tutakuonyesha jinsi ya kuweka upya neno la siri. Bonyeza Hapa
Baada ya kubofya kiunga, chagua chaguo la "Simu" au "Barua pepe", ili kutambua nambari ya simu au barua pepe iliyosajiliwa kwa akaunti yako.
Ukichagua chaguo la "Barua pepe", utapokea barua pepe yenye kiunga cha kubadilisha neno lako la siri.
Ukichagua chaguo la "Simu", utapokea SMS yenye msimbo wa kubadilisha neno lako la siri.
Ni hayo tu! Kwa kufanya hivi, neno lako la siri jipya litakuwa halali na unaweza kutumia huduma zetu tena.
Niliingiza maelezo yasiyo sahihi katika sehemu ya taarifa binafsi. Je, ninairekebishaje?
Ikiwa uliingiza taarifa yoyote kimakosa katika sehemu ya taarifa binafsi, kama vile, jina kamili, nambari ya simu, anwani ya barua pepe au taarifa nyingine tunakuomba utume barua pepe kwa: support.tz@parimatch.com
Mara tu tunapopokea barua pepe yako, tutawasiliana nawe na kukuuliza taarifa fulani maalum, ili tuweze kufanya mabadiliko yanayohitajika kwenye sehemu ya Taarifa Binafsi ya akaunti yako ya Parimatch.