Kuweka

 

KUWEKA PESA

 

Baada ya kufungua akaunti, utatakiwa kuweka pesa.

Ili kuweza kucheza nasi, inatakiwa kuweka pesa kwenye akaunti yako. Hapa tutakuelekeza namna ya kuweka pesa kwenye akaunti yako kama unatumia tovuti au application.

 

Jinsi ya kuweka pesa kwa watumiaji wa tovuti kwa njia ya kompyuta.

Ni rahisi kuweka pesa kuliko unavyofikiri, bofya kwenye kitufe cha kijani kilicho andikwa “weka pesa” kwenye kona ya kulia kwenye ukurasa wako, kisha chagua mfumo wa malipo utakaotaka kutumia kuweka pesa na ufuate maelekezo kuweka pesa.

Jinsi ya kuweka pesa kwa watumiaji wa tovuti kwa njia ya simu.

Haina tofauti sana kama kuweka pesa kwa watumiaji wa tovuti kwa njia ya kompyuta. Bofya “weka pesa”. Unaweza kuweka pesa moja kwa moja ukiwa kwenye ukurasa mkuu au kwa kubofya sehemu ya salio lako kisha bofya “weka pesa”.

Kuweka pesa kwa njia ya application ni rahisi pia.

Bofya sehemu ya salio la akaunti yako, bofya kitufe cha kijani kimeandikwa “weka pesa”.