Apilikeshen Ya Kwenye Simu

 

APPLICATION

Ili uweze kufurahia huduma zetu unaweza kupakua application yetu.

Ukiwa unatumia application ya Parimatch, Dunia ni yako! Tafadhali usikose nafasi hii ya kupakua application ya Parimatch, kwani itakurahisishia kubashiri au kushiriki katika huduma zetu.

Jinsi ya kupakua application?

Unaweza kupakua application yetu moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu, au unaweza kutumia kiunga hiki kiunga.

Jinsi ya kutumia application?

Haya ni maelekezo mafupi ya namna ya kutumia application yetu. Chini kabisa ya kwenye ukurasa wa application yetu utaona kuna menyu yenye vipengele vitano (5) kama unavyoona hapa chini


 

Kutoka kushoto kwenda kulia, kuna:

Kuu:Hapa unaweza kuona matukio yote maarufu ya michezo kwa matukio yanayoendelea na matukio yajayo. Pia unaweza ukaona ofa nyingine tofauti tofauti.

Michezo: Kwenye kipengele hiki utaona matukio yote, matukio yanayoendelea pamoja na matukio yajayo.

Menyu: Hapa unaweza kufungua vipengele tofauti tofauti vya tovuti yetu, kama vile  kitufe cha kutafuta, matukio pendwa, programu ya uaminifu na mengine mengi.  Pia unaweza kufungua vipengele vingine. 

Mkeka wangu: Kwenye kipengele hiki, utaweza kuona mikeka yako yote iliyoamuliwa na ile ambayo bado haijaamuliwa.

Akaunti yangu: Hii ni sehemu kuu ya akaunti yako, ambapo unaweza kuona salio lako, weka pesa, toa pesa, promosheni, taarifa binafsi na vipengele vingine.