Jinsi ya kubeti nasi
Ni rahisi sana kubeti nasi. Ingia kwenye akaunti yako, chagua michezo ambayo unataka kubashiria (mpira wa miguu, mpira wa kikapu, tenisi n.k).
Baada ya hapo, utakuwa na machaguzi mawili au matatu kama unatumia application (single bet, parlay au multibet na system bet). Kwa upande wetu hatuna kikomo cha idadi ya matukio kwenye mkeka mmoja lakini kuna kikomo cha odds kwa mkeka mmoja ambacho ni 2000.
Jinsi ya kutengeneza mkeka wenye tukio moja.
Kama unataka kuandaa mkeka wenye tukio moja (single bet), chagua chaguo unalotaka kwenye mechi husika kisha weka kiasi unachotaka kulipia. Kama utakuwa umeridhishwa na chaguzi ulilofanya bofya sehemu imeandikwa “weka mkeka”. Kiasi cha chini cha kulipia mkeka wako ni shilingi 100.
Kuhusiana na Multiple Bet?
Hatua ni zile zile, kutengeneza mkeka wa Parlay Bet (Multiple Bet) . Chagua machaguo unayotaka kwenye mechi husika kisha weka kiasi unachotaka kulipia.
Kwa upande wetu hatuna kikomo cha idadi ya matukio kwenye mkeka mmoja lakini kuna kikomo cha odds kwa mkeka mmoja ambacho ni 2000. Kama utakuwa umeridhishwa na chaguzi ulilofanya bofya sehemu imeandikwa “weka mkeka”. Kiasi cha chini cha kulipia mkeka wako ni shilingi 100.
Kwenye Multiple Bet , odds zote huzidishwa pamoja na kiasi ambacho mteja ametumia kubashiri. Ili kuweza kupata ushindi kwenye mkeka wako ni lazima matokeo ya matukio yote kwenye mkeka wako yawe sawa na ulivyochagua endapo kutakuwa na tukio hata moja kwenye mkeka wako likatoa matokeo tofauti, basi mkeka wako unakuwa umepoteza.