Ofa Za Kujisajili

 

Hapa tunazungumzia baadhi ya ofa maalum zilizopo kwa upande wetu! 

 

Tunapenda kutoa ofa au bonasi kwa wateja wetu. Ofa yetu  maalum ya kwanza ni ofa kwaajili ya wateja wetu wote wapya ambayo inafahamika kama “Bonasi ya ukaribisho”. 

Kupitia ofa hii mteja anaweza kupata asilimia 100% ya kiasi atakachoweka kwa mara ya kwanza kwenye akaunti yake. 

Jinsi ya kupata bonasi ya ukaribisho

Kwanza, unatakiwa kujisajili na Parimatch, baada ya kufungua akaunti na kukamilisha kujaza taarifa binafsi utatakiwa kuweka pesa  (Kuanzia 500 mpaka 1,00,000).

Baada ya kukamilisha hatua hizo, bonasi itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya masaa 24. Baada ya kupokea bonasi mteja atapewa siku 7 tu kuhakikisha anatumia bonasi hiyo  kwa kuzingatia vigezo na masharti. Mteja anatakiwa kuhakikisha ametumia bonasi hiyo  kwa kuzingatia vigezo na masharti ili kuweza kutoa pesa..


Kama unapendelea kucheza “casino” kuna ofa kwaajili ya wateja wetu wapya hapa.

 

Usisahau kuhusiana na mahitaji ya matumizi ya bonasi hiyo

 

Ni muhimu kukumbuka kwamba ofa zetu nyingi zina mahitaji na namna ya utumiaji ambayo ni muhimu kuyatimiza kabla ya kufanya jaribio la kutoa pesa. Unaweza kuona hali ya matumizi ya bonasi  kwenye akaunti yako, kwa kubofya sehemu ya salio kisha promo binafsi.

 

MASWALI YA MARA KWA MARA.

Nataka kuondoa bonasi yangu, Inawezekana?

Ndiyo, inawezekana kondoa bonasi kwenye akaunti yako endapo tu hujaanza kuitumia bonasi hiyo. Ingia upande wa bonasi kisha chagua bonasi husika na ubonyeze kitufe cha “ futa”.